Dalili za Qiyama na Ubashiri wa Kudhihiri Imam Mahdi (a)
Safina ya msafara wa mwisho wa mwanadamu inakaribia mwisho wake katika dimbwi la hatari ya imani potofu ya kuamini dunia hii tu bila ya kujali Aakhera. Uroho huu umeongezeka katika udanganyifu...