Yazid Hakuwa Amiirul-Muminin
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu; na swala na salamu zimshukie Mtume Wake pamoja na aali zake waliotwahirishwa, amin. Mwanzo mwanzo wa mwezi wa Muharram wa mwaka huu (1424 BH), palitolewa...
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu; na swala na salamu zimshukie Mtume Wake pamoja na aali zake waliotwahirishwa, amin. Mwanzo mwanzo wa mwezi wa Muharram wa mwaka huu (1424 BH), palitolewa...
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London. Kama lilivyo jina...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: kilichoandikwa na Sheikh Ja'far al-Subhani. Sisi tumekiita: "Udhuu kwa mtazamo wa Qur'ani na Sunnah" Kitabu...
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho International Jew. Sisi tumekiita, Myahudi wa Kimataifa. Kitabu hiki, Myahudi wa Kimataifa ni matokea ya tume...
Kitabu hiki kimerudiwa kimechapishwa tena kwa ruhusa ya waandishi, ili kuafikiana na Kongamano la Kilimwengu la Umoja wa Mataifa dhidi ya Ubagazi wa Rangi, (United Nations World Conference against...
Utangulizi Ingawaje Qur’an Tukufu inatujulisha vya kutosha kuhusu Jannat (Peponi ) na Jahannam ( Motoni ), vile vile tunapata habari zaidi kutoka Ahadith Qudsi zilizoletwa na Malaika...
Au Nom de Dieu, le Clément, le Miséricordieux Qu'Allah, le Très-Haut, le Seigneur des mondes, soit glorifié, et que la paix soit sur Muhammad et sur ses Descendants...
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Qabdh Baina ‘l-Bid’ah wa‘s-Sunnah" Sisi tumekiita: "Je, Kufunga Mikono Ni Bidaa...
Il presente libro è in larga parte una versione sintetica di: “Shi°i Islam: Origins, Faiths and Practice (2003, ICAS Press)”, opera dello stesso autore. Questa versione...
Dhana ya maadili imekuepo toka alipoumbwa mwadamu. Siku za zamani, kulikuwa na tofauti ya wazi kati ya maadili “mema” na maadili “mabaya” ingawa si mara zote watu walikuwa...
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli...
Mtungaji ni mtafiti katika misingi ya ukweli, mwenye kujitahidi jitihada kubwa kabisa katika njia ya kuufikia, hadi Allah (s.w.t.) akamwongoa katika njia ya sawa, “Na wale ambao wamejitahidi...